Hakika nanauka maana maandiko yana Thibitisha hilo kwa mfalme farao alioteshwa ndoto kuhusu hali ya kiuchumi katika nchi yake ili apate kujiandaa kufanya mgawanyo sahihi wa kibajeti ili kusiwe na shida katika nchi. Rejea. Mwanzo 41:1-36.
Kaka huwa nakuelewa sana mkuu ila sasa kuzipata vitabu vyako kwenye bookshops huwa nazikosa . Actually I like to move forward in money formula. Always be blessings brother.
Daaaah! juzi nilikuwa nyumbani nikaona hiki ulichosema kwa mzazi wangu.hii clip imenikumhusha kitu hapo ahsante sana
Kaka MUNGU Akubariki sana ushauri wako umenijenga kiuchumi
Asante coach... hongera sana kwa mafunzo yako....zidi kubarikiwa
Hakika nanauka maana maandiko yana
Thibitisha hilo kwa mfalme farao alioteshwa ndoto kuhusu hali ya kiuchumi katika nchi yake ili apate kujiandaa kufanya mgawanyo sahihi wa kibajeti ili kusiwe na shida katika nchi.
Rejea.
Mwanzo 41:1-36.
Ujumbe mahususi,umenigusa bro!👍🏻👏
Ubarikiwe sana Mr Joel kwa elimu nzuri unayotupatia vijanawako
Barikiwa sana Kaka na mafundisho yako Bwana anisaidie kuishi katika haya
Asante kwa elimu nzuri
Good Joel,be blessed
Kaka huwa nakuelewa sana mkuu ila sasa kuzipata vitabu vyako kwenye bookshops huwa nazikosa .
Actually I like to move forward in money formula.
Always be blessings brother.
Kaka joel unanifanya nikufollow mtandaon Kila cku mungu akubariki sana
Ushauri wako umenijenga sana kimaisha Amiin
Good thanks very much❤❤
Good advice bro❤
Kwa hakika naupendaga sana huu mdahalo wa Joel nanauka.
Yes asante kwa som
Naitaji kujiung na dalasa lako na kitabu naitaji leo
Umeni inspire sana nahitaji kupata vitabu vyako naishi Dar es salaam
God bless you
Elimu nzuri,sana%
Ahsante sana joel
Ubarikiwe tunakuombea kaka
Ujumbe mzuri
Ubarikiwe mwalimu
Nakukubali.sana bro Nanauka
Hii imefika kbs😮🇨🇩🇨🇩😮
Asante upo sawa
Yaani umeongea mulemule tukifata hayo tutafika mbali
Nakukubal sana kaka
The Young Nanauka🔥🔥🔥🔥
Balikiwa sana kaka.
Kweli asante kaka
Nikweli kabisa,,,,
Andikeni vitabu kwa lugha ya kiswahili
kaka unanifungua akili kuhusu mafanikio
Uko sawa
Asante
Point
Ujumbe mzuri sana
Safii sana
Kweli tunazdisha matumizi kuliko kile tunachoingiz 🙏
Kaka nimekuelewa vyema kabisaa.
Sasa mm ntaekaje akiba wakati sijashiba
Good
Uzidi kubarikwa JN
Kaka mimi mkulima Wa bustan ila natamani nifanye makubwa
Naitaji kujifunza na kuishi ndani ya bajet nakuweka akiba
Nashukuru sana
Kanuni nzuri,,,
Kitabu napataje
Xahh
Daaaah! juzi nilikuwa nyumbani nikaona hiki ulichosema kwa mzazi wangu.hii clip imenikumhusha kitu hapo ahsante sana
Asante