joti nazani nimda sasa wakuandaa sears yakila wik kama mark angel wako na care taker sears na house keeper sears nazani vilichangiya sana kuwap follows dunian your a fun guy and so talented tuburudishe basi
sauti ya andunje,,, haijakaa sawa, n laini sana na haisikiki vizuri,, mjitahidi kuboresha na kuacha kutumia uzoefu sababu tunawafahamu. mtu mgeni kwenu anaweza asielewe mantiki ya mchezo kupitia sauti ya andunje,,, l;abda picha tu. wenzangu mnaonaje hapo?
Joti never disappoints..., from kenya mad love
ruclips.net/video/z1jcvtF3R9c/видео.html
ruclips.net/video/z1jcvtF3R9c/видео.html
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆
Yeah joti is the best from 🇹🇿
ruclips.net/video/vlVJQzbIEtc/видео.html
ruclips.net/video/vlVJQzbIEtc/видео.html
Jot umenipa rahaaa sana nilikua cnamud yakaz apa ngoja nilisongeshe , nawapenda nawapenda nawapenda teeena jooot mimawewe milele
😂😂😂😂😂eti Ka Deal na Mama Mdogo Alafu Kamlie Cha Mkongo 😂😂😂😂
Safi broo unajuaaa sana
Akiriyako unaifahamu wemwenyew kbs love from bujumbura kamenge
Kazi nzuri Kaka Mung akutunze Na Ukarahisishie Kila Jema
Joti hajawahi kushindwa daah... Jamaa anaweza mnoooooo🤣🤣🤣
ruclips.net/video/vlVJQzbIEtc/видео.html
ruclips.net/video/vlVJQzbIEtc/видео.html
Best comedian in my heart ❤
Muondoa stress zetu Leo kweli mapema!!!!
ruclips.net/video/vlVJQzbIEtc/видео.html
King of commed Tanzania 🇹🇿 ukibish usilike
Brother mmetisha sana naomba sapoti brother napenda sana comedy
From brazuka, joti, is best comedians, welcome my favorite jot
😂😂😂😂😂 joti kaka ww ni noma ww ni living legend wa comedy bro respect kazi imeenda shule
Jot nakupenda bule hauna kaz mbovu mungu azid kukubarik hakuna kam we😂😂😂
Leo n mm nimewahi jmn navyopenda kazi za joti
We cha kufanya kadili na mamdogo af mlie cha mkongo😂😂😂
🤣🤣🤣kila siku huwa nasubiri huyu mwamba atakuja kwa staili gani.👏🙏kwa kuanza siku vizuri Andunje
Kila Ijumaa kifungua kinywa changu ni joti😂😂
@@MalJr01 Ukiamka baada ya kuwasha moto unawasha data 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
"Chakufanya saivi kadili na mamdogo alaf mnunulie na mkongo " hahah joti bana
Joti unafit kila sehem kama mtoto babu kijana mzee hiyo ni baraka mshukuru Allah
Tumempokea mjomba🤣🤣🤣🤣🤣🤣amekurubuni si umekubali lakini🤣🤣🤣🤣🤣
Ongera sana Big JOTI naku kubali sana toka Drc 🇨🇩🇨🇩
ruclips.net/video/z1jcvtF3R9c/видео.html
🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆👆👆
ruclips.net/video/z1jcvtF3R9c/видео.html
🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆🤸🤸🤸
Eti mali yako inaliwa 😂😂😂😂 joti your awesome 😀😀
Nakukubalo Sanaa chief of all comedians
Sema huyo mwamba kipande Angeua , so funny
Joti uki-act kama andunje uwa unatisha Sana, SEMA wewe mwamba unajua Hadi unakera😂😂💯
Noumaaaa sanaaa , joti kitombangile🤣🤣🤣🤣🤣
Mikazo
Miguno
Anaitwa Nishai Kitombangile kitwango 😂😂😂😀
Daaahhhh joti Fundiiii Ataendelea kula za adi
Aiseeee. Ivi mi ndo nimechelewa ivi kweliii jamaniii 😳😳😳😳
Well done team Joti 👏 👍 🙌 👌 you are the best
😄😄😄😂 JOTO Eeeh eti cha MKONGO.😄😄 This is Talented.🫶🏻
Bamdogo nataka nikwambie kitu...enhhhh..."Babu jinga inama ufikiri mali yako inaliwaaa, mali yako inaliwaaaa...🤣😂
Umeijuaje hyo nyimbo, naijua iyo bamdogo....Maake apo kwanza nchekeeee😁😁
ruclips.net/video/vlVJQzbIEtc/видео.html
ruclips.net/video/vlVJQzbIEtc/видео.html
ruclips.net/video/vlVJQzbIEtc/видео.html
🤣🤣🤣 Andunje kiboko ety Amba Kati inahusika😂😂👏
joti nakpenda bure mungu akuzdishie uhai mrefu
Joti umeshindikana Mana tunasahau had madeni ya vicoba, huhuhuhuhu
😆🤣🤣🤣😂
Huwez Amini nmesimama barabarani hadi imeisha🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
Hii ni kali katika kali zote ....big up sana joti
Joti: Sasa hiyo uppercut anapigwa nani sasa??😂😂😂😂😂😂
Jamaa kayakanyaga .. shuhuda mwenyewe andunjee😅🤣🤣🤣
Jikoni ayupo ndani ayupo yuko wap.izi ambakati atapigwa nani sasa joti wee atali🤣🤣🤣
Good work bro
Hahahaha kkkkkkkkkkkkk nakufa mimi Maboga weee mbuzi sana kwa kweli nasheka hadi mbavu zinakatila
Mjomba kaja tena😂😂😂😂😂 joti
Kkkkkkkkkk katoto kambeya haki anduje we ni number one kuhusu ili swala la comédie ww ni Simba 👌♥️💕💓💗mwanangu
😂😂😂Tuliorudia kuangalia tujuane kazi anayo
🤣🤣🤣
Kwahyo mama yako anakwambia umepumua unakataa ina maan nimepumua mimi? 😂😂😂😂 Mwamba katisha
Joti mashauri cku umweke mkwere kwenye moja ya clip zako mtatosha mnoo.. mna chemistry zinaendana
Kweli
Mtoto mbea huyu apo kwenye shuz mimi hoi🤣🤣🤣 Ila joti wewe only one comedy
ruclips.net/video/z1jcvtF3R9c/видео.html
ruclips.net/video/z1jcvtF3R9c/видео.html
👆👆👆👆👆🤣🤣🤣🤣🤣
Nakupenda sana joti yaan unatakiwa unikatie bima Maan mbavu zangu zikivunjika sijui
Ambakati Anapgwa nani Sasa 😂😂😂😂
joti nazani nimda sasa wakuandaa sears yakila wik kama
mark angel wako na care taker sears na house keeper sears nazani vilichangiya sana kuwap follows dunian
your a fun guy and so talented tuburudishe basi
Paapaa leo kazi anayoo😮💨😂😂🤣🤣🤣🤣
Waishirn leo nipn ht like 2
Andunje una akili mbovu una akili mbovu unanunua mknda mbovu Kama huu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani we noma unajua
Nakukubali joti nikiwa na mawazo Huwa yanaisha
Hhhh joti hatar Fire
Watu wa mungu hamlali et
Waoooh nimewah kidog wa 25
😂😂😂Hahahaha jamani jot kamchekeshe woyaa
🤣🤣🤣🤣🤣 joti joti joti wewe ni Mzee majuto junior 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Much improved video/audio quality. Well done Joti.
Big up bro
Hongera sanx kk j all the way from Tz🤣
Mtoto km wew kwangu usingekaaa😂😂🤣 yan akamlie na cha mkongo tn😂
Mbona hayupo 😃😃😃😃joti bana
Ata Ivo una shati kama hili😃😃
mwambaaaaaaa nakubali sn
😅😅😅 king of comedy😅😅
Joti umeiteka nchi tasnia yA uchekeshaji 👊👊👊 saivi ni non stop one week unashusha video 💥💥💥💥💥
hahahahaaaaaa mapema leo.... joti mubaya
Asnte sana ANDUNJE kwa kunisababishia kuianza vyema sku yangu kwa kuufurahisha moyo wangu
uwii joti uko vizuri 🤣🤣🤣🥰🥰🥰
1 million subscribers is loading...
Andujeeeeee Bala Sanaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀
joti msenge sana aah!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Much love andunje 😅 happy birthday too
Watu wamekesha kumsubiria Aziz kii wakaona waunganishe na kwa joti
😂😂😂😂 king of comedy 🤣
Big up team
Wewe jamaa:,-):💯💯💯💯
Babu jinga inama fikiri mali yako inaliwaa😂😂😂😂😂😂
Wa ukae 💥💥
😆😆😆😆😆😆 wew joti ni mwehu kabisaaaaa
Andunje hufai
😂😂😂😂😂😂😂joti nyihe chaumbea khaaaaaa😃😃😃
wallah nimecheka looh 😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣joti bana we noma kabisa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪🤝
Kadili na mamdogo halafu mlie cha mkongo 😀😀😀
Wa tatu kukomenti😅
Saut kidg aijakaa pw inaitaj marekebisho kdg
Nakukubali joti
haaaa Mjomba kaja tena nakuona CEO wa comedy TZ God bless,
Kazi anayo😂😂
😂😂hii Kali
Joti ww acha ukorofi eti kadil na mama mdgo hlf mpe cha mkongo yaan ukipat mtto kam joti unaumbuka mchan kweup🤣🤣🤣🤣
JOTI HILO JINA LA MAMA MDOGO UTAKUJA UFUNGWE SHAURI AKO😂😂😂
Uyu mwamba namuelewa sana 😂😂😂😂
Nitafute Kijana
Nawapenda nyote
sauti ya andunje,,, haijakaa sawa, n laini sana na haisikiki vizuri,, mjitahidi kuboresha na kuacha kutumia uzoefu sababu tunawafahamu. mtu mgeni kwenu anaweza asielewe mantiki ya mchezo kupitia sauti ya andunje,,, l;abda picha tu. wenzangu mnaonaje hapo?
Umesomeka kaka jitihada zitafanyika,barikiwa🙏
ruclips.net/video/z1jcvtF3R9c/видео.html
🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆👆🤸🤸
😀😀😀😀😀 joti uko mkali sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kadili na Ma mdogo kamlie Cha mkongo 🤣🤣🤣